×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Joseph ole Lenku amemshambulia Mbunge wa Kajiado Mashariki Peris Tobiko

1st April, 2019

Gavana wa Kajiado Joseph ole Lenku amemshambulia Mbunge wa Kajiado Mashariki Peris Tobiko, kwa madai kwamba mbunge huyo anaonyesha madharau ndani ya chama cha jubilee. Lenku alizungumza hayo katika kanisa la anglikana la st. Peter's huko kajiado, wakati naibu rais william ruto alifika kanisani humo kusaidia mchango wa fedha za kanisa hilo. Peris tobiko amekuwa mkosoaji sugu wa gavana lenku na inaarifiwa anajiandaa kuwania kiti cha ugavana kwenye uchaguzi mkuu ujao.

.
RELATED VIDEOS