x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama cha Wanafamasia nchini kilikamilisha ziara yake huko Kakamega

01, Apr 2019

Chama cha Wanafamasia nchini kilikamilisha ziara yake huko Kakamega, ambapo viongozi wa chama hicho wakiongozwa na mwenyekiti wao patrick adera walikagua dawa ghushi madukani. Walisema kwamba wataendelea na shughuli hiyo kutokana na taarifa kuzuka za dawa ghushi kutoka nchi jirani. 

Feedback