×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

SIRI YA MAUTI: Vifo tatanishi katika mtaa wa Utawala

30th March, 2019

Katika sehemu ya pili ya makala maalum ya siri ya mauti, mwanahabari Nicholas Wambua anauliza maswali ya uwezekano wa mume wa patricia mueni stephen gitau kibue kuwepo kwenye nyumba ya patrcia ambapo mama huyo  aliaga dunia pamoja na bintiye wa miaka ishirini agnes wanjiru na kitinda mimba wa mwaka mmoja raphael gitau. Hata hivyo jumbe za agnes kwa dadake zinaonesha binti aliyekuwa akitaabika haswa inapobainika kuwa alikuwa ameletwa nairobi na mamake mzazi kinyume na mapenzi yake. Familia hiyo iliaga kwa sumu.

.
RELATED VIDEOS