.
25th March, 2019
Kutokana na changamoto ya ukosefu wa umeme hasa katika maeneo yaliyo mashambani kijana mmoja mkenya ametengeneza kifaa kilicho na uwezo wa kuzalisha umeme kwa miaka kumi kwa kijiji kizima bila kuhitaji. Kijana huyo anaendeleza shuguli zake za kuzalisha umeme sudan kusini.