Bunge la Kaunti ya Mombasa limeipitisha hoja ya kumbandua ofisini Waziri Tawfiq Balala
19th March, 2019
Bunge la Kaunti ya Mombasa limeipitisha hoja ya kumbandua ofisini Waziri wa Uchukuzi na Miundo Msingi wa kaunti hiyo Tawfiq Balala. Hii ni baada ya mswada huo kupata uungwaji mkono wa asilimia kubwa.