x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mataifa zaidi yamepiga marufuku usafiri wa abiria kwa ndege aina ya 737 800 max

12, Mar 2019

Mataifa zaidi yamepiga marufuku usafiri wa abiria kwa ndege aina ya 737?800 max kama njia ya tahadhari baada ya ndege mbili za aina hiyo kuhusika kwenye ajali katika kipindi cha miezi mitano. Mataifa mengine yameharamisha usafirishaji wa abiria kwa ndege aina hiyo kupitia anga zake. Mataifa hayo ni kama vile uingereza, singapore, indonesia, uchina na ethiopia. Wakati huo harakati za kusafirisha familia za waliofariki kwenye mkasa wa ndege wa ET302 kuelekea nchini ethiopia kutambua miili ya wapendwa wao zinaendelea. Familia zinalalamika kuhusu kucheleweshwa kwa utoaji wa taarifa muhimu kuhusu mkasa huo. 

POPULAR NEWS VIDEOS


03

RELATED VIDEOS


Feedback