×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya waonya dhidi ya mashine gushi ya kamari

4th March, 2019

Mratibu mkuu wa kaunti ya Nairobi, Wilson Nyaga amewaonya vikali wananchi wanaotumia mashine za kamari kuwa watachukuliwa hatuwa kali na serikali. Alizungumza haya akiendesha operesheni ya kukusanya mashine hizo ambapo zaidi ya mashini mia sita ziliteketezwa katika eneo la embakasi.

.
RELATED VIDEOS