Hakimu yupo mashakani kwa tuma ya kushiriki katika kifo cha mumewe
4th March, 2019
Mahakama ya mavoko imeagiza kuzuiliwa kwa washukiwa wanne wanaosemekana kuhusika katika mauaji ya wakili Robert Chesang kwa siku tisa zaidi. Miongoni mwao ni mkewe Maisy Omulang'a ambaye ni hakimu katika mahakama ya Nyeri.