×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Esther Passaris ameitaka serikali kuhakikisha kwamba wanaoishi na ulemavu wamesaidiwa

25th February, 2019

Mwakilishi wa kike katika Kaunti ya Nairobi, Esther Passaris, ameitaka serikali kuhakikisha kwamba kila Mkenya hasa wanaoishi na ulemavu wamesaidiwa na kusajiliwa kwenye bima ya taifa ya afya, nhif akizungumza alipozuru kituo cha kuwatibu watoto wanaoishi na ulemavu cha reuben center, kilichoko embakasi, passaris alisema kazi ya ulezi na utunzi wa watoto huwa na changamoto, ila kuwalea watoto walemavu ni chamangomoto kubwa zaidi kwa wazazi. Alisema itakuwa bora iwapo sera madhubuti kuhusu suala hilo zitabuniwa. Bi passaris aliandamana na balozi wa australia humu nchini kwenye ziara hiyo ya kufungua chumba cha kufanyia mazoezi kwa watoto wanaoishi na ulemavu. 

.
RELATED VIDEOS