×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkutano wa Timammy watibuliwa

16th February, 2019

Maafisa wa usalama wamelazimika kutumia vitoa machozi kuwatanya wananchi waliokusanyika kumpokea aliyekua gavana wa kaunti ya lamu issa timamy gavana huyo wakwanza amekua na misafara kadhaa katika  jimbo hilo tangu mwanzoni mwa juma kwa nia ya kuwashukuru wakaazi waliosimama naye tangu kipindi cha uchaguzi hadi wakati wa kesi ya kupinga ushindi wake mahakamani.vurumai hilo lilichukua muda mfupi kisha baadaye likadhibitiwa.  

.
RELATED VIDEOS