x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shirika la KEBS limeamuru kuondolewa madukani siagi ya njugu aina ya Nuteez

04, Feb 2019

Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa KEBS limeamuru kuondolewa madukani siagi ya njugu aina ya nuteez inayotengenezwa na kampuni ya jetlak foods mjini limuru baada ya siagi hiyo kugunduliwa kuwa na viwango vya juu zaidi vya sumu aina ya aflotoxin.  Shirika hilo limesema kuwa limekuwa likifanyia uchunguzi bidhaa za njugu katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kugundua kuwa hazitimizi viwango vya ubora. Ziporah syokau anaarifu. 

RELATED VIDEOS


Feedback