×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtu aliyezingatiwa kuwa na nguvu zaidi, Conrad Njeru (Tiger Power) amezikwa

19th January, 2019

Mtu aliyezingatiwa kuwa na nguvu zaidi Barani Afrika na wa pili kwa nguvu kote duniani Conrad Njeru Karukenya almaarufu Tiger Power amezikwa hivi leo nyumbani kwake katika kijiji cha makengi eneo Bunge la Runyenjes kaunti ya Embu. Hali ya majonzi kutoka kwa familia ya Tiger Power ilitanda katika hafla ya mazisha hayo ambayo ilihudhuriwa na gavana wa kaunti ya embu martin wambora na viongozi wengine.

.
RELATED VIDEOS