×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazazi wavamia shule ya msingi ya Lalagin na kumtimua mwalimu mkuu

4th January, 2019

Wazazi walivamia shule ya msingi ya  Lalagin  eneo la Bureti na kisha kumtimua  mwalimu mkuu. Kundi hilo la wazazi waliojawa na hasira  limedai kuwa mwalimu mkuu ndiye wa kulaumiwa kutokana na matokeo duni ya wanafunzi wa shule hiyo katika mtihani wa kitaifa. Mwalimu huyo mkuu hakuweza kupatikana mara moja kujibu shutuma hizo.

.
RELATED VIDEOS