×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtaala mpya wa elimu umezinduliwa nchini Kenya

4th January, 2019

Muhula wa kwanza wa masomo mwaka huu wa 2019 umeanza kwa uzinduzi wa mtaala mpya wa elimu katika ngazi tatu za elimu ya msingi kuanzia daraja la kwanza hadi la tatu. Ingawa shule za binafsi zimeuchangamkia mfumo huo mpya  walimu wa shule za wameelezea kutoridhishwa na maandalizi ya uzinduzi huo. 

.
RELATED VIDEOS