19th December, 2018
Saa chache baada ya mwanasiasa na mkulima mwenye utata Jackson Kibor kumtaliki mkewe wa tatu Naomi Jeptoo, ghala la mwanawe Jeptoo Elkana Kibor amablo lilikuwa na mali takriban milioni 1.5 liliteketezwa usiku wa kuamkia Jumatano na watu wasiojulikana. Jeptoo sasa anahisi maisha yake yapo hatarini kutokana na kasumba zinazomwandama.