.
19th December, 2018
Mamia ya wakazi kwenye wadi ya Komarock jijini Nairobi wanachungulia usiku mwingine wa kulala nje baada ya makazi yao kubomolewa, sasa kwa siku ya pili. Masaibu yanahusishwa na mzozo wa ardhi baina ya kampuni ya Muthithi investment na walionunua na kujenga eneo hilo.