×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafungwa katika gereza la Lang'ata wapewa zawadi za krismasi

16th December, 2018

Wito umetolewa kwa idara ya mahakama na asasi nyingine za serikali kuweka mikakati na taratibu za kuwezesha kuwaachilia huru wafungwa waliokaa gerezani kwa muda mrefu na kuonesha dalili za kurekebika. 

Wito huo umetolewa na aliyekuwa mwakilishi wa kike katika kaunti ya Nakuru, Mary Mbugua, alipowaongoza wanawake wa kanisa la pcea kuwatembelea wafungwa katika gereza la wanawake la Lang’ata na kuwapa zawadi za krismasi. 

Aidha mbunge huyo wa zamani aliongeza kwamba ni lazima jamii iwe hiari kuwakubali tena wafungwa pindi wanapokamilisha vifungo vyao na kurejea nyumbani.

.
RELATED VIDEOS