×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Usalama wa viziwi: Kijana mlemavu wa kusikia aliyeuawa na wahuni azikwa Nyeri

28th November, 2018

Katika kisa cha kusikitisha…Dennis Kimani, mwanamme mwenye umri wa makamo aliuwawa kinyama. Dennis ambaye alikuwa kiziwi alikumbana na mauti yake baada ya matatu alimokuwa akisafiria kuelekea katika mtaa wa Kahawa West hapa jijini Nairobi kutekwa nyara na majambazi. Lakini cha kusikitisha zaidi ni kuwa kosa alilofanya Dennis ni kuwa kiziwi. Huku jamaa na marafiki zake wakimpumzisha katika eneobunge la Mathira kaunti ya Nyeri hapo jana, maswali mengi yameibuka kuhusu usalama wa jamaa walio na ulemavu wa kuzungumza na kusikia.

 

.
RELATED VIDEOS