26th November, 2018
Serikali inawataka wasimamizi wakuu 3 wa SGR kituo cha Mombasa kuzuiwa katika gereza la shimo la tewa kaunti ya Mombasa hadi kesi yao ikamilike. Washukiwa hao wanatuhumiwa kujaribu kuwahonga maafisa wa jinai waliokua wakichunguza madai ya kufuja fedha za tiketi.