×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakuu wa NHIF kusalia rumande | KTN Leo 26/11/2018

26th November, 2018

Afisa mkuu mtendaji wa shirika la bima ya kitaifa ya afya Geoffrey Mwangi na aliyekuwa mkuu wa fedha Wilbur Kurgat watasalia mikononi mwa polisi hadi hapo kesho wakati uamuzi utakapofanyika kuhusiana na mashtaka ya ufisadi yanayowakabili. Mawakili wao wakiongozwa na profesa tom ojienda wamefaulu kuhakikisha kuwa hawali kiapo wakidai kuwa mashtaka dhidi yao yalijengwa nje ya sheria. Mwanahabari francis ontomwa amefuatilia kesi hii mahakamani na sasa anaelezea ni kwani nini kesi hii inatarajiwa kugusa nyoyo za wakenya.

.
RELATED VIDEOS