.
20th November, 2018
Waziri wa Elimu balozi Amina Mohammed pamoja na wakurugenzi wa UNESCO na katibu katika Wizara ya Elimu walikutana katika hoteli moja jijini Nairobi na kuzindua ripoti ya masuala ya elimu 2019. Madhumini ya mkutano huu ilikuwa ni kuelimisha wakimbizi, wahamiaji na wakimbizi wa ndani na haswa watoto katika nchi ya Kenya.