.
7th November, 2018
Utalijua jiji juma hili itavuka mipaka hadi ughaibuni na haswa milki za kiarabu kwani kumekuwepo tu na sintofahamu kuhusiana na miji kama Abu Dhabi, Dubai au Sharjah. Wengine wanadhani kuwa ni mataifa huku wengine wakidhania ni miji mikuu. Tobias Chanji anaripoti kuhusu jiji la Sharjah pamoja na miji mingine.