×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Biashara ya mkaa: Biashara yashamiri huko Busia

1st November, 2018

Je umewahi kujiuliza  makaa yanayotumika nchini baada ya serikali kupiga marufuku ukataji miti na uchomaji makaa yanatoka wapi? Biashara ya makaa inayogharimu mamilioni ya fedha imeendelea kushamiri katika eneo la mpakani kati ya kenya na uganda mjini busia licha ya marufuku hii. Asilimia kubwa ya makaa tunayotumia yanatoka mataifa jirani kupitia kivukio hiki.

 
.
RELATED VIDEOS