×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mpaswaji Mkuu wa Serikali: Polisi apiga Kondakta wa gari hadi kufa

16th October, 2018

Imebainika kuwa marehemu caleb espino otieno, mwanamme mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi ya umakanga katika eneo la changamwe mombasa alipigwa hadi kufa  akiwa mikononi mwa polisi.  Hii ni baada ya mwili wake kufanyiwa upasuaji na uchunguzi  ambao umebaini kuwa alikufa kutokana na majeraha mengi. Japo madaktari wa upasuaji wamesema kuwa ni uchunguzi tu wa kina utakao baini ikiwa alipigwa.

.
RELATED VIDEOS