x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya waadhimisha Siku ya Chakula

16, Oct 2018

Na leo ni siku ya chakula duniani; kauli mbiu ya maadhimisho ya siku hiyo mwaka huu ni 'matendo yetu, ni mustakabal wetu'. Katika maadhimisho ya siku ya chakula duniani, shirika la umoja wa mataifa kuhusu kilimo na chakula?fao linalenga kuhakikisha kuwa dunia haishuhudii tena baa la njaa ifikapo mwaka 2030. Hapa nchini maadhimisho ya siku hii yalifanyika katika eneo la njoro kaunti ya nakuru na kuhudhuriwa na maafisa kutoka wizara ya kilimo. 

RELATED VIDEOS


Feedback