×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maskwota katika eneo la Sabaki walizua kizaazaa

15th October, 2018

Maskwota katika eneo la  Sabaki eneo bunge la magharini Kaunti ya Kilifi walizua kizaazaa pale walipovamia iliyokuwa ardhi ya shirika la ustawi wa kilimo nchini adc  na kufanya tambiko ili kuwalaani watu ambao wamedai kuwa ni wanyakuzi wa ardhi hiyo ambayo ilirejeshwa kwa jamii. Wakaazi hao hatimaye walianza kujigawia ardhi hiyo wakisisitiza kuwa ni wao ndio wamiliki halali. 

.
RELATED VIDEOS