×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zaidi ya wakazi alfu 25 wanaoishi katika kijiji cha Lesesia wapokea amri na vitisho

15th October, 2018

Zaidi ya wakazi alfu 25 wanaoishi katika kijiji cha Lesesia eneo Bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wanaishi kwa wasiwasi baada ya kupokea amri na vitisho vya kutimuliwa katika kijiji hicho kutokana na utata wa umiliki wa timbo za mawe zilizoko katika kijiji hicho. Kulingana na wakazi hao viongozi kutoka eneo hilo ndio wanaowahangaisha wakitaka kuchukuuwa usimamizi wa shughuli zote za uchimbaji mawe ambazo zimekuwa zikiwapa mkate wao wa kila siku kwa miaka na mikaka.

.
RELATED VIDEOS