.
15th October, 2018
Bilionea kijana wa Tanzania Mohammed dewji anatimiza siku tano tangu alipotekwa nyara na watu wasiojulikana alhamis ya wiki iliyopita jijini dar es salaam nchini tanzania na leo hii familia ya bilionea huyo imetangaza zawadi ya kitita cha fedha cha shilingi za kitanzania bilioni moja sawa na milioni 44 thamani ya shilingi ya kenya kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa mfanyabiashara huyo maarufu, rajabu hasan anaarifu zaidi kutoka jijini dar es salaam nchini tanzania.