×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

IEBC yaeleza kwa nini Chiloba alitimuliwa | Leo Wikendi

13th October, 2018

Tume huru ya uchaguzi na mipaka imethibitisha kumpiga kalamu rasmi aliyekuwa afisa wake mtendaji ezra chiloba kutokana na maswali yaliyoulizwa na mkaguzi mkuu wa fedha za serikali ya jinsi shughuli za ununuzi wa vifaa vilivyotumika katika uchaguzi mkuu uliopita ilivyoendeshwa kupitia kwa taarifa kwa vyombo vya habari mwenyekiti wa iebc wafula chebukati amesema kuwa imethibitishwa kuwa kulikuwa na dosari nyingi za usimamizi na zabuni zilizotolewa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka uliopita. Awali chiloba alisema alizuia kupata stakabadhi muhimu ambazo zingemsaidia kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kumtimua afisini. 

.
RELATED VIDEOS