×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afrika Mashariki kudhibiti matumizi ya silaha za moto

8th October, 2018

Jumuiya ya Afrika Mashariki imeonesha dhamira ya kudhibiti matumizi ya silaha za moto ambazo kwa wakati tofauti hutumika katika kutekeleza uhalifu dhidi ya binadamu, jumuiya hiyo kupitia spika wa bunge lake Martin Ngoga,  imesema itatekeleza dhima hiyo kwa ushirikiano wa kamati ya kimataifa ya Msalaba Mwekundu ( ICRC) na  serikali za nchi wanachama za umoja wa Afrika mashariki

.
RELATED VIDEOS