×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Catholics Monks na Egerton Wasps wapata ushindi

6th October, 2018

Wenyeji Catholic Monks na timu ya raga ya Egerton wasps wamepata ushindi katika raundi ya pili ya raga ya vyuo vikuu iliyochezwa kwenye uwanja wa chuo kikuu cha catholic hii leo . 

Catholic ambao wanaongoza katika jedwali la ligi waliilaza timu ya chuo kikuu cha Eldoret Trojans alama 23 kwa 6 na kuandikisha ushindi wao wa pili kwenye mashindano hayo. 
Egerton walizoa alama nne muhimu baada ya kuwashinda JKUAT alama 8 kwa 5.

.
RELATED VIDEOS