.
3rd October, 2018
Hatima ya ubunge wa Embakasi East jijini Nairobi kwa mara nyingine imerejea mikononi mwa mahakama. Hii yafuatia rufaa yake muwaniaji wa chama cha Jubilee Francis Mureithi dhidi ya uamuzi wa mahakama ya rufaa. Sasa mahakama ya upeo nchini itaamua iwapo wakazi wa Embakasi East watarejea debeni au la.