x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkenya Don Bosco Gichana ameachiliwa huru nchini Tanzania

02, Oct 2018

Baada ya kuwa rumande nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka mitano unusu bila kufunguliwa mashtaka hatimaye Mkenya Don Bosco Gichana ameachiliwa huru. Bosco ambaye alitiwa mbaroni mwaka wa 2013 kwa tuhuma za uhaulishaji wa fedha  kutoka kwa raia wa Marekani waliostaafu  aliachiliwa mapema hivi leo na akarejea nchini kupitia kivuko cha mpakani cha  Namanga. Kosa hilo hata hivyo lilimgharimu Bosco faini ya shilingi milioni kumi na tano. Kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka wa 2007 Gichana aligonga vichwa vya habari baada ya kumtunuku kiongozi wa ODM Raila Odinga gari jekundu aina ya hammer ambalo lilikuwa na umaarufu mkubwa wakati wa kampeni za kisiasa.

RELATED VIDEOS


Feedback