×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanahabari wa Standard James Omoro apigwa na polisi

2nd October, 2018

Mwanahabari wa Standard James Omoro anauguza majeraha baada yaafisa mmoja wa polisi kumgeukia na kumpiga na hivyo kumjeruhi vibaya wakati akifanya kazi yake katika  majengo ya bunge la kaunti yamigori. Omoro alikuwa anafuatilia vuta nikuvute ambayo imegubika bungehilo, swala kuu likiwa utata unaozingira  nafasi ya kiongozi wa wengi bungeni. Rabsha zilizuka katika bunge hilo na wakati  omoro alipojaribu kupigapicha, afisa mmoja wa polisi alimgeukia na kumpiga vibaya na kuiharibu kamera yake.

.
RELATED VIDEOS