x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mke wa mbunge wa Nakuru Town Bi Violet Nzisa amefikishwa Mahakamani

01, Oct 2018

Mke wa mbunge wa Nakuru Town East David Gikaria Bi Violet Nzisa amefikishwa mbele ya mahakama ya Nakuru kujibu mashtaka ya kuidharau mahakamani. Hii inafuatia agizo la mahakama  la kumtaka arejee mahakamani baada ya kauchiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja.  Inaarifiwa kuw abi nzisa alipuuza agizo la mahakama la kumtaka alipe mwathiriwa wa ajali  zaidi ya shilingi laki saba mwaka uliopita  baada ya kumngonga kwa gari.

RELATED VIDEOS


Feedback