29th September, 2018
Je umewahi kusikia watu Wakenya wakitafuta ajira katika milki za kiarabu na mataifa mengine ya ughaibuni kama ufilipino na kwingineko? Baadhi hupitia hali ngumu wanapotafuta posho yao ya kila siku ili kukidhi mahitaji ya jamaa zao wanaosalia nyuma. Hapa ni kionjo cha makal maalum ya utumwa mamboleo yalioandaliwa.