×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zaidi ya watu mia sita wanaoishi na ulemavu washiriki katika tamasha ya Machakos

24th September, 2018

Zaidi ya watu 600 wanaoishi na ulemavu walikongamana katika uwanja wa machakos peoples park katika kaunti ya machakos ili kusherehekea uwezo walionao katika tamasha zilizopewa jina la uhai?festival. Washiriki walionesha umaahiri wao katika michezo mbali mbali ikiwemo mpira wa vikapu, voleboli, ndondi kwenye viti, ruji ya wasioweza kusikia, sarakasi pamoja na maonesho ya urembo na fasheni.tamasha hizi za siku mbili zilianza jumamosi lengo kuu haswaa likiwa kupigana na unyanyapaa dhidi ya ulemavu. Gavana  wa machakos Alfred Mutua alifungua tamasha hizo.

.
RELATED VIDEOS