x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wabunge la Senati wamezuru mji wa Eldoret

24, Sep 2018

Wanachama wa kamati mbali mbali za Bunge la Senati leo wamezuru mji wa Eldoret katika kaunti ya uasin ngishu kukadiria mafanikio na changamoto za utekelezaji wa serikali  za kaunti.  Maseneta hao wamefanya vikao vya bunge nje ya mji wa nairobi kwa mara ya kwanza katika hatua ambayo wanatarajia italeta mwamko mpya katika uongozi. Spika wa bunge hilo kenneth lusaka amesema kamati mbali mbali za bunge hilo zinafanya uchunguzi wa maswala mbali mbali ambayo yanaathiri wananchi ikiwemo sakata ya mahindi na kucheleweshwa kwa malipo ya wakulima.

RELATED VIDEOS


Feedback