×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Al-shabaab wauwawa na wanajeshi wa Kenya katika eneo la Pandanguo

24th September, 2018

Washukiwa kumi wa kundi la wanamgambo wa alshabaab wameripotiwa kuuwawa na wanajeshi wa Kenya  katika eneo la Pandanguo Kaunti ya Lamu .  Kadhalika wanajeshi wa kenya wamenasa bunduki saba aina ya ak 47 kutoka kwa wanamgambo hao. Taarifa zinasema kuwa wanajeshi watatu wamejeruhiwa katika makabiliano hayo. Wakaazi wa lamu wameelezea kuridhishwa na juhudi zinazoendelea za kupambana na wanamgambo hao.

.
RELATED VIDEOS