×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali ya taharuki imeshuhudiwa katika eneo la Olposimooru katika Kaunti ya Narok

24th September, 2018

Hali ya taharuki imeshuhudiwa katika eneo la Olposimooru na Olenguruoni Jumapili jionina asubuhi ya leo baada ya mapigano kuzuka baina ya jamii zinazoishi katika eneo hilo.  Kwa mujibu wa maafisa wausalama mtu mmoja ameuawa na wengine ishirini na sita wakijeruhiwa vibaya.

.
RELATED VIDEOS