×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magufuli atoa risala zake kwa waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya feri

22nd September, 2018

Nchi ya Tanzania imo katika siku nne za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya feri ya MV Nyerere ambayo imesababisha vifo vya zaidi ya watu mia moja hmasini huku shughuli za uokozi zikiendelea. 

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametoa salamu za pole kwa jamaa, ndugu na marafiki wa waathiriwa wa mkasa huo

.
RELATED VIDEOS