×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

EACC wamezitwaa stakabadhi muhimu zake Dr Evans Kidero na watoto wake wawili

20th September, 2018

Makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC, wamezitwaa stakabadhi muhimu zake aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Dr Evans Kidero na watoto wake wawili.

Kidero ameyathibitisha hayo kwa kuelezea mshangao wake kwani miongoni mwa pasi za usafiri zilizotwaliwa ni ya marehemu mwanawe aliyefariki miaka kadhaa iliyopita. Hata hivyo Kidero kupitia wakili wake, Peter Wanyama, ameapa kupinga hatua hiyo mahakamani kwa misingi kwamba utaratibu wote ulikiuka haki zake za msingi.

.
RELATED VIDEOS