19th September, 2018
Aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo atasalia korokoroni kwa usiku mwingine hadi alipe amana ya shilingi milioni tano.Jirongo ambaye anadaiwa kukwepa kulipa shilingi milioni ishirini za mfanybiashara Brian Yongo alifika mbele ya mahakama ya Milimani ambapo kulingana na ushahidi uliotolewa kortini kupitia mawakili wake Dunstan Omari na Benard Kakyoko amekuwa akilipa deni hilo.