×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

TEKNOHAMA: Mtanzania ameunda tuk tuk kwa kutumia vipuri vilivyotumika

17th September, 2018

Nchini Tanzania mwanaume wa miaka 60 ameunda tuk tuk ukipenda pikipiki ya magurudumu matatu iliyo uwezo wa kubeba watu saba kwa kutumia vipuri vilivyotumika na sasa anasubiri kibali cha serikali kitakachoruhusu chombo hicho kutumika katika barabara za nchi hiyo na itakuwa ni mwanzo tu wa mafanikio ya m'bunifu huyo mwenye ndoto ya kufungua karakana kubwa na kuajiri vijana wengi, mwanahabari wetu rajabu hassan amekutana na mbunifu huyo na kutuandalia taarifa ifuatayo kwenye sehemu ya teknohama.

.
RELATED VIDEOS