17th September, 2018
Katika hali ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia Serikali ya Uganda imeahidi kuondoa vikwazo vinavyochangia kunyanyaswa kwa wavuvi katika ziwa victoria na maafisa wa jeshi la nchi hiyo katika visiwa kadhaa wanakohudumu raiya wa mataifa tofauti.