Kaunti ya Garisa inaendelea na maandalizi ya kongamano la IGAD
12th September, 2018
Kaunti ya Garisa inaendelea na maandalizi ya kongamano la IGAD mwishoni mwa wiki hii, litakaloangazia kampeni ya polio. haya ni kulingana na waziri wa afya wa kaunti hiyo Ahmed Nadhir.