.
11th September, 2018
Nchini Tanzania sasa ni marufuku kwa mbunge mwanamke kuingia katika bunge la nchi hiyo akiwa amejipamba kwa kucha na kope bandia ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na athari zotokanazo na urembo wa kubandika kucha na kope bandia.