.
6th September, 2018
Bondia James Onyango ajulikanaye kama 'Onyi' anaendelea kujizatiti katika maandalizi yake huku akijitayarisha kwa pigano na mpinzani kutoka Afrika Kusini Jason Bedeman.
Pigano hilo litaandaliwa afrika kusini tarehe 21 mwezi huu.