×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zaidi ya viongozi 50 kutoka Bara Afrika wako China kushiriki katika kongamano

3rd September, 2018

Zaidi ya viongozi 50 wa mataifa ya Bara Afrika wako mjini Beijing nchini Uchina  kushiriki katika kongamano la siku mbili la ushirikiano kati ya mataifa ya afrika na uchina. Kongamano hili linajiri wakati mataifa mengi ya afrika yamekosolewa kutokana na mzigo wa madeni ambayo yamejitwika kutoka uchina. Kongamano hilo ambalo hufanyika kila baada ya miaka mitatu hutoa fursa kwa uchina kunadi mikopo kwa mataifa ya afrika. Kongamano hilo lilianza kwa mkutano baina ya rais xi jinping na viongozi hao wa afrika.

.
RELATED VIDEOS