×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa Usalama Fred Matiang'i ataka maafisa wa Uganda kuheshi Wavuvi wa Kenya

3rd September, 2018

Waziri wa Usalama Dr. Fred Matiang'i amesema wizara yake inabuni mpango wa kutoa suluhu la kudumu la kutoa usalama wa kutosha katika ziwa victoria ili kukabiliana na malalamiko mengi ambayo hutolewa mara kwa mara na wavuvi wa humu nchini. Akizungumza katika kaunti ya nyanza wakati wa mkutano wa usalama, dkt matiang'i amesema kuna kitengo kinachoshughulikia mpango huo ambao utashughulikia kikamilifu swala la usalama katika victoria.

.
RELATED VIDEOS